Intermittent fasting. Hii ni mbinu mojawapo nzuri sana kwa wanaume wanaokosa hamu ya tendo la ndoa mara moja-moja, wakati ukiwa umejinyima kufanya tendo la ndoa endelea kufunga nusu yaani unakunywa maji ya moto tu asubuhi, au ndizi moja au yai moja. Usile chochote au punguza wanga au cha sukari (Wamasai huwa wanajichimbia porini wanakula nyama tu kwa muda wa miezi kadhaa) wakirudi wanakuwa na sura kama vijana hivi. Mchana pia kula kidogo sana mfano kiazi au kipande cha mhogo na mtindi au nyama ya kuchoma kidogo, jioni unaweza pia kuacha kula au kula matunda tu. Hakikisha unakula chini ya nusu ya kawaida ya chakula chako ulichozoea kula kila siku. Ofcourse acha kunywa pombe na aina yoyote ya vileo.
Hii ni njia nzuri sana ya;
1 ⥤kupunguza sukari mwilini
2⥤kuondoa sumu
3⥤kuondoa cholestrol mbaya
4⥤kuongeza uwezo wa damu kuzunguka haraka mwilini. Kumbuka ya kwamba hakuna formula maalumu ya kufuata ili umfurahishe mkeo, swala ni wewe kujua ni vipi utamfurahisha na kujenga kuaminiana bila shaka na kuwa wamoja ingawa mna mioyo tofauati.
↪picha stail nzuri ya kukomaza uume wako usimwage haraka
Kwa watu wa maofisini na mabosi wengi hujifanya masongo sana na kazi, anakula hapohapo anafanya kazi hapohapo sio mbaya unajenga taifa, lakini kumbuka unaweza kufa mapema. Ki ukweli mimi huwa nawadharau sana. Hakuna kitu cha muhimu kwa binadamu kama chakula, unapokula unatakiwa uache kila kitu na uwe unakula tu, wakati mwingine unakula na kusikiliza chakula jinsi kinavyoshuka katika mwili wako. Usikubali hata kusemeshwa semeshwa ovyo.
Chakula ni uhai, bila chakula utakufa, ukila chakula vibaya unatengeze sumu mwilini. Sumu hizi ndio taka mwili zinazoenda kuharibu mfumo wa uzazi wakoFunga wakati muafaka kwa lengo muafaka, na wakati wa mfungo kula chakula muafaka na jenga mapenzi muafaka kwa mkeo.
0752 693 692 au 0655 580 788
soma pia namna ya kupanga jinsia ya mtoto hapakwa elimu ya faya, uzazi na mahusiano tembelea facebook @healthpoint

Comments
Post a Comment