Lazima ukianza utasema hitawezekana kwa kuwa utakuwa unamwaga haraka karibia kila siku, ikiwa mwenzako anaelewa lengo lako, basi usiwe na shaka, ukimwaga haraka, rudia tena na tena mara kwa mara na hatimaye utaweza na hutachanganyikiwa tena.
Mwanamke anaweza kusukuma kwa kwenda mbele na nyuma badala ya juu na chini, anakuwa kama vile anaukunja uume kidogo - ili uume upoteze msisimuko kidogo. Pia kama anaweza anaweza kufanya kama anabana na kukamua uume -lengo kuu ni kujaribu kupotezea ili hisia iliyojaa mwilini kwako mwanaume ili angala uchelewe kidogo, baada ya muda unazoea na kuona kama kawaida tu.
MREJESHO TULIOUPATA TOKA KWA WALIOJARIBU NI MZURI SANA - JARIBU NA WEWE.
Comments
Post a Comment