Je inawezekana kuongeza ukubwa wa uume?
JE PUNYETO ZINASABABISHA KIBAMIA (UUME MDOGO NA MWEMBAMBA)?
unaweza soma kwanza hapa Kijue chanzo cha Punyeto
Hili ni tatizo la kudumu kwa mwanaume kama vile lilivo tatizo la kudmu kwa wanawake maziwa yaliyolegea. Ni ukweli usiopingika ya kwamba uume lazima uwe fiti ili kuweza kutimiza kazi zake kuu 3 yaani (1) kuzalisha
(2) kustarehesha na
(3) kutoa takaUume wa ukubwa wowote ule unaweza fanya kazi hizo tatu, kazi ya kustarehesha ndio inakuwa na majungu mengi sana, lakini nayo inawezekana kufanyika kwa ufasaha kama mwanaume mwenye uume mdogo (chini ya nchi 4 atapata elimu sahihi). Na kabla hatujafika mbali basi ngoja nikufahamishe uume mkubwa ni upi, mdogo ni upi, unapimwaje na je kuna uke mkubwa?

Kisayansi uume mdogo ni ule ukiwa umesimama (kudinda) na kumwingilia mwanamke unakuwa haujazama na kufikia angalau zaidi ya nusu ya urefu wa uke. Urefu wa uke wa kawaida ni nchi 5 hadi 7 saa ingine inaweza fika 8 hadi 9 kwa mwanamke mwenye umri mkubwa na aliyekwisha kuzaa na kama hajazaa na ana umri mdogo basi uke unaweza kuwa na urefu wa kati ya nchi 3 hadi 4 tu. Upimaji wa kina cha uke na urefu wa uume wote hufanyika wakati wa msisimko tayari kwa kufanya tendo la ngono. Uke wa chini ya nchi 3 ni aidha mwanamke ananyonga ndogo sana (kama wachina) au bado hajabalehe na kwa hiyo kiuno chake kinaendelea kutanuka. Sasa ili mwanaume uweze kusikia unafanya kitu wakati upo kwenye tendo la ndoa basi uume wako uwe na angalau nchi 4 hadi 6. Na kwa wastani katika Afrika wanaume wengi wana uume wenye nchi 5 hadi 6, wachina kwa mfano wako chini ya nchi 5 kwa hiyo wanaendana na wake zao. Wafrica wachache wana uume wa nchi 7 hadi 8 na wachache zaidi wana nchi 9-10. Wanaume wenye uume wenye nchi chini ya nchi 4 ni wachache sana katika Africa. Ndio mana kwa wastani bara la Africa linasifika kwa kuwa na wanaume wenye uume mkubwa hasa watu wa Africa ya Magharibi na eneo karibu na maziwa makuu na jamii ya wa-Congoman.
Wanawake wengi wa kizungu wana uke mrefu wa zaidi ya nchi 6 kwa kuwa wanaviuno virefu (tofautisha kiuno kirefu na kiuno kikubwa) fananisha mfano mzungu na mchina ndio unajua namaanisha nini, ingawa waafrica wengine hata awe na kiuno kidogo bado anaweza kuwa na uke mrefu. Na pia mwanamke na mwanaume akiwa hajasisimuka uume au uke unakuwa mdogo lakini akisisimuka unaongezeka urefu na unene/upana. Kwa upande wa wanaume ni tofauti sana ukubwa wa uume hautegemeani na ukubwa wa mwili au urefu wa mwanaume, ingawa wanawake wengi huamini mwanaume mrefu atakuwa na uume mrefu.
Wanawake wengi wa kizungu wana uke mrefu wa zaidi ya nchi 6 kwa kuwa wanaviuno virefu. Tofautisha urefu wa kiuno na ukubwa wa makalio
UUME MFUPI NA MWEMBAMBA (KIBAMIA) – Kibamia ni uume mdogo chini ya nchi 4 na mwembaba kiasi ya kwamba unakuwa na saizi kama ya bamia na pia ni uume legelege.
Sababu za kuwa uume mdogo (kibamia) zinaweza kuwa nyingi lakini kuu ni pamoja na kukosekana kwa mzunguko mzuri wa damu katika uume, urithi toka kwa wazazi, matumizi mabaya ya uume wakati na kabla ya kubalehe na magonjwa sugu.
Unaweza kubofya hapa ili kujua namna ya kupima uume wako. Pima uume wako ukiwa umesimama kwa 100%. Sasa katika mazingira ya kawaida na kufuatana na tofauti mbalimbali za kimaumbile mwanaume unaweza kuwa na uume mkubwa kwa mwanamke huyu na uume huo huo ukawa mdogo kwa mwanamke mwingine. Maana yake ni kwamba Mungu alisha kuandalia mtu wako ila wewe kwa tamaa zako mwenyewe na bila kufuata ushauri wa ki-Mungu umeamua kuwa na mtu ambaye hakuwa chaguo la Mungu. Na kwa bahati nzuri sana Mungu amebariki ndoa yako.
Sasa kama umejikuta ndio uko katika ndoa na uume wako unahisi haujai vizuri ukeni basi inafaa uangalie mbinu mbadala za kupambana na hilo tatizo, mbinu hizo ni pamoja na (a) kutumia staili mbalimbali zenye uwezo wa kukusaidia wewe kama mwanaume
(b) kuhakisha uume unasimama 100% ndio ufanye tendo la ndoa na
(c) kutumia zaidi viungo vingine vya mwili.
(b) kuhakisha uume unasimama 100% ndio ufanye tendo la ndoa na
(c) kutumia zaidi viungo vingine vya mwili.
JE PUNYETO ZINASABABISHA KIBAMIA (UUME MDOGO NA MWEMBAMBA)?
unaweza soma kwanza hapa Kijue chanzo cha Punyeto
Ndio na Hapana. Uume hufikia ukomo wa ukuaji wake mara mwanaume umalizapo balehe. Baada ya hapo hauwezi ongezeka urefu wake labda kunenepesha tu. Ikiwa mwanaume ataanza kupiga punyeto baada ya kubalehe sio rahisi sana uume udumae kwa sababu tu ya kupiga punyeto. Ishu kubwa ni kuwa uume wako kuufanyisha kazi ngumu ya punyeto katika mazingira ya ubaridi utasinyaa na kukosa hamu ya kawaida ya mahusiano ya mwanaume na mwanamke. (kusinyaa sio kudumaa) Vionjo vya asili vinapotea. Lakini kama kijana ulianza kufanya punyeto kabla na wakati wa balehe na punyeto yenyewe ikiwa ni ya mara kwa mara, kuna uwezekano mkubwa ukaingilia makuzi ya ukubwa wa uume, uume sio tu utadumaa pia utasinyaa na kuwa sugu. Haitakuwa rahisi kwa uume kupata vionjo halisi vya mvuto wa mwanamke pindi ukutanapo na mwanamke. Kwa mana nyingine hakuna uhusiano wowote wa mtu anayepiga punyeto baada ya kubalehe na ukubwa wake wa uume. Tofauti ni moja tu uume utasinyaa na kukosa kusimama vizuri 100%
Kumbuka ya kwamb a kutokana na umri, uume huanza kusinyaa na kukosa nguvu kadri mwanaume anavyoachana na 40s na kuelekea 60s
Labda ili kuwatoa wasiwasi wanaume wanaohangaika sana na kutafuta suluhisho na uume wao kuwa legelege na kuhisi ya kwamba ni mdogo ni kuwa wanawake wengi hupata msisimuko mkubwa kwenye robo tatu ya mwanzo ya uke sio ndani, ukigusa mlango wa uzazi nayo ni hatari kwa kuwa unaweza fungua mlango huo na kusababisha madhara.
Jambo la kuzingatia
(1) uwe na mzunguko mzuri wa damu mwili kwa kula chakula bora na safi na kufanya mazoezi ya mara kwa mara
(2) chakula safi kinakuongezea uwezo wako wa kuwa na homoni za kutosha na hivyo kuhakikisha unapata msisimuko mkubwa na uume wako kusimama kwa 100%
(3) acha punyeto, uume unasinyaa, unakuwa goigoi, sugu, na unakuwa na uoga flani kama mshamba kaingia mjni
(4) ngono isiyo salama itakuletea magonjwa sugu na kinyume na maumbile inapunguza ladha na vionjo vya asili
(5) jitibu kisukari, pesha na vidonda vya tumbo pia tezi dume.
Inawezekana kuongeza ukubwa wa uume? NO HAIWEZEKANI labda operation ifanyike. Uume hufikia ukomo wake baada ya kijana kumaliza balehe, baada ya hapo hauongezeki tena. Viungo vingi vya mwili hufikia ukomo wa kukua wakati huohuo unapomaliza balehe.
Kumekuwa na dawa nyingi za keinyeji lakini vijana wengi ninao wasiliana nao wanasema hawajaongezeka hata kidogo, pia dawa za vidonge vya kimagharibi navyo watu waliotumia bado wanalalamika. Kumaanisha ya kwamba vyote huwa vinafanya kazi moja tu - kuongeza mzunguko wa damu mwilini na kuongeza msisimuko wa hamu ya tendo la ndoa na hivyo kuongeza uume kusimama vizuri (100%) na kwa muda mrefu tu.
0752 693 692 or 0655 580 788

Comments
Post a Comment