Yaani bila ya kuwa na hamu tendo la ndoa sio rahisi kwa mwanaume kuwa na nguvu za kiume na pia kuwa na uwezo wa kutungisha mimba ingawa kukosa hamu ya tendo la ndoa haimaanishi ni upungufu wa nguvu za kiume au ni dalili ya ugumba. Picha za ngono na video zimetapakaa kila mahali, katika mitandao ya kingono ya kimagharibi, kwenye facebook na mitandao mingine ya kijamii - walioziweka wanamalengo yao kama vile kuuza mikanda ya ngono, matangazo ya biashara na pia ni mipango ya ibilisi.
Kuna mzee aliniambiya yeye hawezi kabisa kusimamisha uume mpaka aangalie picha au video ya ngono. Na mwingine pia akanambia hawezi fanya tendo la ndoa vizuri bila kumfikiria mwanamke flani anayempenda hata akiwa anafanya tendo la ndoa huvuta taswira ya mwanamke mwingine sio huyo anayefanya nae tendo la ndoa. Yaani huyu mzee kisaikolojia na kiimani anafanya ngono na wanawake wawili kwa wakati mmoja. Huu ni ulemavu ndugu zangu. Kama utajikuta kwa hali yeyote ile huna hamu ya tendo la ndoa mpaka ufikirie vitu vya tofauti nje na mkeo basi tambua una matatizo ya kisaikolojia, na unahitaji tiba ya kisaikolojia. Mpende mwenzio, jitambue na usonge mbele. Kama nilivyokwisha kufundisha nyuma hapo juu, jizuie kufanya mapenzi ya mara kwa mara, punguza kinywaji, punguza vyakula vya wanga na sukari, fanya mazoezi ya mara kwa mara, jiwekee shughuli za kimaendeleo za kufanya, mfano wengine wanasema mimi nikitoka job ndio basi sina tena cha kufanya, sio kweli ila hujatafuta kitu chakufanya. Soma simulizi ndefu za kusisimua, au andika vitabu au fanya kazi za mikono hata kufua nguo nakadhalika. Jipe muda mzuri wa kupumzika. Jipe muda wa kutafakari uzuri wa mkeo, usimfananishe na wengine, yeye ni mzuri kuzidi wote. Jiulize ulimpendea nini, na kwa nini sasa humtamani tena?
Siku moja nilikuwa nasafiri na dereva kwenda Mwanza kutokea Musoma, njiani dereva alikuwa anageuza kichwa kila akiona mwanamke mwenye makalio makubwa, na wakati mwingine anaguna. Nikaamua kufanya utafiti kwake. Tulipofika Mwanza nilimwambia ningependa nifike kusalimia familia yake, kweli nilikuta ana mke mzuri sana lakini mwenye makalio ya kawaida. Nilijiuliza huyu dereva wangu alioa kwa kulazimishwa?? Sikiliza kijana chagua kitu roho inapenda na Mungu atakupa.

PICHA ZA NGONO, VIDEO ZA NGONO NA TASWIRA ZA NGONO zinaharibu uwezo wako wa asili wa kutamani na kupata hisia, yaani kifupi hisia na akili yako inakuwa imetekwa na kwa hiyo picha hizo zinaendelea kukuendeshea maisha yako ya mapenzi na ndoa kwa remote control.
PICHA ZA NGONO NA VIDEO Pia zinachangia kwa kiasi kikubwa sana vijana wetu kushindwa kujiamini na hivyo kila wakati kuwa na wasiwasi na ukubwa uume wao. Yaani wanasahau ya kwamba wanaume na wawake walioko kwenye picha na video za ngono ni waigizaji, wao wanachukulia kama hiyo ndio real life, na matokeo yake kijana unaanza kujidharau na kutaka uwe anafanya tendo la ndoa kama wale aliowaona kwenye video. Kumbuka picha na video za ngono ni watu wameandaliwa kwa ustadi mkubwa sana, nao wakaingia kuigiza, hadi mtu wa kawaida ufikie kiwango kile maana yake utakuwa unaishi maisha kama ya waigizaji kila siku jambo lisilowezekana katika ulimwengu wa kawaida – UWE NA KIASI KATIKA MAMBO YOTE.
KUNYONYWA UUME: Sio utamaduni wa kiafrica na sio kitu kizuri kiafya hasa kutokana na majaribio kadhaa baadhi ya maeneo ya Ulaya kuthibitika kusababisha kansa ya koo. Kuna mdada alinipigia simu toka Morogoro na kunieleza kuwa mumewake hawezi simamisha uume mpaka anyonywe uume wake, ndio unasimama, tena katikatika ya tendo ukisinyaa, inabidi kunyonya tena. Wewe???? hivi hujui uke ndio huwa unatumika kukojoa, choo zetu unaziamini kiasi gani ndugu, mbona chafu hivo na maji machafu yanarukia ukeni. Yaani kwa kifupi mdada amekereka na hajui cha kufanya, ilibidi tu kwa busara nimweleze azingatie usafi. Sasa inapofikia kwenye level ya kero hapo ndio linakuwa tatizo na linapofikia kwenye level ya kwamba huwezi simamisha uume mpaka unyonywe hicho ni kilema ndugu yangu kwa kuwa sio jambo la asili kabisa . Kama mkeo anapenda na anafurahia kitendo hicho sio mbaya lakini kama hapendi basi, jizuie na kuwa na kiasi. Lakini kama wote mnafurahia basi sio mbaya, zingatieni usafi.
KUNYONYA UKE – Inasemekana mwanamke husikia raha sana akinyonywa uke, sasa wewe na yeye ndio mtajua nini cha kufanya na pia kutokana na imani zenu. Lakini la kwangu ni je kuna usafi wa kutosha, je hakuna magonjwa huko chini? Angalia mwanamke anapoenda chooni uchafu mwingi wa choo humrukia na kisha labda atajisafisha na tishu au maji, una uhakika uchafu wote umetoka? Kumekuwa na malalamiko makubwa toka kwa madaktari kuongezeka matatizo ya, ulimi, kinywa na koo. Na wengi huhusianisha matatizo hayo na ngono za mdomo kwa uke au uume.
0752 693 692 or 0655 580 788
kwa elimu ya faya, uzazi na mahusiano tembelea facebook @healthpoint
pia soma hapa namna gani kufunga nusu kunaweza kusaidia wewe kuongeza hamu ya tendo la ndoa na kuongeza nguvu za kiume

Comments
Post a Comment