Skip to main content

UKUBWA WA UUME NA UREFU WA UKE




Hili ni tatizo la kudumu kwa mwanaume kama vile lilivo tatizo la kudumu kwa wanawake maziwa yaliyolegea. Ni ukweli usiopingika ya kwamba uume lazima uwe fiti ili kuweza kutimiza kazi zake kuu 3 yaani (1) kuzalisha,
(2) kustarehesha na
(3) kutoa taka

Lakini pia ni uwongo mkubwa kwamba uume 
lazima uwe mkubwa ili kutimiza majukumu hayo makuu matatu hapo juu.  Na kabla hatujafika mbali basi ngoja nikufahamishe uume mkubwa ni upi, unapimwaje na je kuna uke mkubwa?

Kisayansi uume mdogo ni ule ukiwa umesimama (kudinda) na kumwingilia mwanamke unakuwa haujazama na kufikia angalau zaidi ya nusu ya urefu wa uke. Urefu wa uke wa kawaida ni nchi 5 hadi 7 saa ingine inaweza fika 8 hadi 9 kwa mwanamke mwenye umri mkubwa na aliyekwisha kuzaa na kama hajazaa na ana umri mdogo basi uke unaweza kuwa na urefu wa kati ya nchi 3 hadi 4 tu. Upimaji wa kina cha uke na urefu wa uume wote hufanyika wakati wa msisimko tayari kwa kufanya tendo la ngono. Uke wa chini ya nchi 3 ni aidha mwanamke ananyonga ndogo sana (kama wachina) au bado hajabalehe na kwa hiyo kiuno chake kinaendelea kutanuka. Sasa ili mwanaume uweze kusikia unafanya kitu wakati upo kwenye tendo la ndoa basi uume wako uwe na angalau nchi 4 hadi 6. Na kwa wastani katika Afrika wanaume wengi wana uume wenye nchi 5 hadi 6, wachina kwa mfano wako chini ya nchi 5 kwa hiyo wanaendana na wake zao. Wafrica wachache wana uume wa nchi 7 hadi 8 na wachache zaidi wana nchi 9-10. Wanaume wenye uume wenye nchi ya nchi 4 ni wachache sana katika Africa. Ndio mana kwa wastani bara la Africa linasifika kwa kuwa na wanaume wenye uume mkubwa hasa watu wa Africa ya Magharibi na eneo karibu na maziwa makuu na jamii ya wa-Congoman.

Wanawake wengi wa kizungu wana uke mrefu wa zaidi ya nchi 6 kwa kuwa wanaviuno virefu (tofautisha kiuno kirefu na kiuno kikubwa) fananisha mfano mzungu na mchina ndio unajua  namaanisha nini, ingawa waafrica wengine hata awe na kiuno kidogo bado anaweza kuwa na uke mrefu. Na pia mwanamke na mwanume akiwa hajasisimuka uume au uke unakuwa mdogo lakini akisisimuka unaongezeka urefu na unene/upana. Kwa upande wa wanaume ni tofauti sana ukubwa wa uume hautegemeani na ukubwa wa mwili au urefu wa mwanaume, ingawa wanawake wengi huamini mwanaume mrefu atakuwa na uume mrefu.
Wanawake wengi wa kizungu wana uke mrefu wa zaidi ya nchi 6 kwa kuwa wanaviuno virefu. Tofautisha urefu wa kiuno na ukubwa wa makalio

UUME MFUPI NA MWEMBAMBA (KIBAMIA) – Kibamia ni uume mdogo chini ya nchi 4 na mwembaba kiasi ya kwamba unakuwa na saizi kama ya bamia na pia ni uume legelege
Sababu za kuwa uume mdogo (kibamia) zinaweza kuwa nyingi lakini kuu ni pamoja na kukosekana kwa mzunguko mzuri wa damu katika uume, urithi toka kwa wazazi, matumizi mabaya ya uume wakati na kabla ya kubalehe na magonjwa sugu. 

Unaweza kubofya hapa ili kujua namna ya kupima uume wako. Pima uume wako ukiwa umesimama kwa 100%. Sasa katika mazingira ya kawaida na kufuatana na tofauti mbalimbali za kimaumbile mwanaume unaweza kuwa na uume mkubwa kwa mwanamke huyu na uume huo huo ukawa mdogo kwa mwanamke mwingine. Maana yake ni kwamba Mungu alisha kuandalia mtu wako ila wewe kwa tamaa zako mwenyewe na bila kufuata ushauri wa ki-Mungu umeamua kuwa na mtu ambaye hakuwa chaguo la Mungu. Na kwa bahati nzuri sana Mungu amebariki ndoa yako.

Sasa kama umejikuta ndio uko katika ndoa na uume wako unahisi haujai vizuri ukeni basi inafaa uangalie mbinu mbadala za kupambana na hilo tatizo, mbinu hizo ni pamoja na (a) kutumia staili mbalimbali zenye uwezo wa kukusaidiawewe kama mwanaume (b) kuhakisha uume unasimama 100% ndio ufanye tendo la ndoa na (c) kutumia zaidi viungo vingine vya mwili.

0752-693 692 au 0655 580 788

Comments

  1. Nimekuelewa, ni vema tufuate mwongozo wa aliyetuumba ktk kumpata aliyekusudiwa.

    ReplyDelete
  2. Thank For Your Lesson, Nimekuelewa Vyema Boss!!

    ReplyDelete
  3. Nimekuelewa nashukulu kwa elimu yako

    ReplyDelete
  4. Asante sasa nmeelewa

    ReplyDelete
  5. Wanaume tuwe wakakamavu

    ReplyDelete
  6. Mm na swali moja unapimaje urefu wa uume

    ReplyDelete
  7. Ukiwa na uume mdog unafanyaje ili uwe mkubwa

    ReplyDelete
  8. Hivyo viungo vingin vya mwili una maana gan sir

    ReplyDelete

Post a Comment