PAMBANA NA KISUKARI AINA YA I&II ILI UONGEZE HAMU NA NGUVU ZA KIUME KWA KUTUMIA MAJANI YA CHAI YA ASILI YAITWAYO “BALSAMIC PEAR TEA
Itakumbukwa ya kwamba watu wengi wasiokuwa na nguvu za kiume na kukosa hamu ya tendo la ndoa pia wanakuwa na matatizo ama ya kisukari au ya presha, au ya ini au ya figo au vyote kwa pamoja. Sasa kabla hatujaenda mbali sana basi tujifunze aina mbili kuu za kisukari na chanzo chake katika mwili.
TYPE I DIABETE – Kisukari cha aina ya kwanza, hiki ni kisukari kinachoaminika kuwa kinatokana na uharibifu wa selizamwili na machine ya kongosho (pancrease -inayounda insulini na enzyme zingine kwa ajili ya mmeng'enyo wa chakula). Insulini ndio homoni inayotumika katika kusafirisha glucose/wanga/sukari kutoka kwenye damu kwenda kwenye seli za mwili. Kwa hiyo katika kisukari cha aina ya kwanza machine (pancrease) za kuunda insulini ndio zinakuwa zimeshindwa kazi, ndio mana baadhi ya wagonjwa hupewa sindano za insulini. Kisukari hiki hutokana na kurithi na sababu zingine ambazo bado hazijajulikana. Matibabu ya kisukari type I ni magumu na saa ingine mwanadamu hatakuwa na njia mbadala tena zaidi ya kuishi na kisukari hiki maisha yake yote. Kisukari cha aina ya kwanza kinaweza mpata mtu yeyeote kuanzia miaka ya utoto hadi miaka ya chini ya 40
TYPE II DIABETE – Kisukari cha ina ya pili, kinatokana na kuwa na sukari nyingi mwilini au tuseme kinatokana na mwili kushindwa kuondoa sukari ya kutosha mwilini. Yaani homoni ya insulini inakuwa imezidiwa nguvu na kiwango cha sukari kilichojaa kwenye damu, na matokeo yake inakuwa sugu na kushindwa kazi. Kisukari hiki kinatokana na watu kuwa na tabia mbaya za kula na maisha ya anasa na yasiyokuwa na kipimo cha kula (ulaji wa wanga na sukari kwa wingi - vyakula vyenye kuzalisha glucose kwa wingi na isiyotumika mwilini). Mara nyingi kisukari hiki huwapata watu wenye umri mkubwa zaidi ya miaka 40 na a u watoto katika familia za matajiri.
MADHARA YA KISUKARI
1- Kuharibika kwa mishipa mikubwa na midogo ya damu
2- Kupata kiharusi/stroke
3- Moyo kukosa damu kutokana kuharibika kwa mishipa mikubwa na midogo ya damu
4- Kufa na kuoza kwa baadhi ya seli za mwili wako
5- Kupooza na kushindwa kufanya kazi kwa baadhi ya viungo vilivyopo chini ya mwili kama vile uume
6- Mfumo wa fahamu kuharibika
7- Viungo vya mwili kukatwa kuwa kuwa vimeoza na kupooza
Inawezekana sana umehangaika na kisukari miaka yote lakini huponi, huwezi jua Mungu alikuwekea siku gani utapona na sasa imefika. Kumbuka ya kwamba kisukari aina ya kwanza ni cha asili (urithi) na kinahusiana na uharibifu wa mfumo wa seli na kongosho, wakati kisukari cha aina ya pili kinahusiana na tabia mbaya za ulaji mbaya na huwapata watu wazima tofauti na kisukari aina ya kwanza ambacho kinawapata hata watoto. Katika mahospitali kisukari aina ya kwanza ni ngumu kutibika na mgonjwa ataendelea kutumia dawa au sindano maisha yake yote, kisukari ch apili ni rahisi kupona kwa kutumia dawa na chakula.
Kutokana na tiba za Kichina (Traditiobal Chinese Medicene – TCM) inawezekana kutibu visukari vyote yaani cha aina ya kwanza na cha aina ya pili. Cha msingini ni kuwa mvumilivu – watu wengi hujikuta wanaingia kwenye mtego wa kuamini ya kwamba kisukari hakitibiki na wanaishia kuishi na kisukari na kukosa raha za dunia alizotupatia Mungu au wanakufa na kisukari au baadhi ya viungo vyao vya mwili vinakatwa
SULUHISHO kuna dawa nyingi ikiwa ni pamoja na majani ya balsamic pear tea ikiwa ni pamoja na kula chakula maalumu
BALSAMIC PEAR TEA
Ufanyaji Kazi wa Balsam Pear Tea:
Kiungo muhimu ni insulin itokanayo na mimea - plant insulin - ambacho huboresha
ufanyaji kazi wa kongosho, kuamsha seli za Beta (B-cells), kuondoa madhara ya kisukari, kurekebisha lipids (mafuta) kwenye damu, kupunguza pressure ya damu, kuamsha seli za kongosho na kuongeza kasi ya oksijeni kuifikia glucose. Inaendana na kurandana vizuri na utaratibu wa ufanyaji kazi wa mwili wa binadamu.
Uchungu ndani ya balsam pear tea husababisha utoaji wa mate kutoka kwenye tezi za mate (salivary glands) na kuondoa hali ya kukauka mate na kusikia kiu.
Balsam Pear ambayo pia hujulikana kwa majina ya "cool melon" au "bitter gourd", ina viwango vikubwa vya vitamini B1, vitamini C na madini.
Balsam pear iligundulika kuwa na charantin ambayo imeonyesha kupunguza sukari (hypoglycaemic effect) kwa watu wasio na tatizo na wale wenye kisukari, pia kuongeza uwezo wa mwili wa kuikubali insulin.
Balsam pear iligundulika pia kuwa na lectin yenye tabia za insulin na kwa sababu hiyo huitwa insulin ya mimea (plant insulin). Uwepo wa lectin una faida ya kuzuia kupata kisukari katika umri mkubwa, au kisukari kinachoitwa Type II diabetes.
Ukinywa balsam pear tea, kwanza utasikia uchungu halafu utamu kwa mbali. Unywaji wa balsam mfululizo hauzuii kisukari peke yake bali hukuongezea mwilini vitamini mbalimbali na madini.
KAZI NA FAIDA ZA BALSAMIC PEAR TEA
1- Kukarabati Beta cells za kongosho linalohusika na utoaji wa insulin
2- Hupunguza sukari na lipids kwenye damu
3- Kuzuia ufyonzwaji wa sukari katika utumbo mdogo
4- kupunguza sukari kwenye mzunguko wa damu
5- Kuepusha madhara ya kisukari kama kiu na kukauka mate
Kwa kifupi matumizi ya balsamic pear tea kwa muda mrefu yanarekebisha matatizo makuu ya figo, ini, macho na kisukari (aina ya I&II) kwa ujumla.
call/message/whatsapp
0752693692
0655580788
Ipo Mwanza, Dsm, Arusha, Dodoma na Mtwara (0716 661 562)

Comments
Post a Comment