KAMA WEWE NI MNENE NA PIA UNAUZITO ULIOPITILIZA BASI WEWE UNATAKIWA KUPUNGUZA KILO ZAKO MPAKA SEHEMU UTAKAPOJISIKIA SAWA
Orodha
ya vyakula kwa ajili ya kuondoa unene na kupunguza uzito
PROTEINS
1- Nyama yeyote ya mnyama alaye nyasi, epuka nyama tu ya kwenye makopo
2- Nyama ya kitimoto, sawa kama wewe sio muislamu. Kama ni muislamu kula nyama aina ya kwanza hapo juu au tatu,nne na tano hapa chini. Pia usile kitimoto ya kwenye makopo
3- Kuku na ndege wa aina yeyote na amayai yao, kuku kuku, kuku bata, kuku njiwa lakini awe amefugwa kienyeji na isiwe nyama ya kopo
4- Samaki wa aina zote, epuka samaki wa kopo na jamii yote ya samaki wa kufugwa kwenye mabwawa na kulishwa vyakula vya kiwandani. Kama wanafugwa kwa bwawa ba awanalishwa chakula asili kama minyoo sawa otherwise jiepushe navyo hutapungua.
5- Kaa na jamii ya wanyama wenye magamba magumu na laini kama PWEZA wa baharini na kwenye mito, Kula angalia wasiwe kwenye makopo.
6- Bacon na sausage kama umetengeneza mwenyewe au unajua aliyetengeneza
7- Nyama na chakula cha kwenye karatasi chenye expire date fupi ni sawa… mfano imetengezwa tarehe 03/05/2016 na inaexpire tarehe 24/05/2016. Hii inaonyesha wazi nyama hii ni fresh imewekwa kiasi kidogo sana cha vizuia kuoza.
8- Soy na maharage plus njegere zinakiwango kikubwa cha protein lakini pia wanga kwa hiyo si vizuri kula kama unataka kupungua utakula ukishapungua.
9- Maziwa ya wanyama walao nyasi kama ng’ombe na mbuzi.
10- Unaweza ongeza vitu vingine vingi vinavyofanana an hivyo
UPISHI WA PROTEINS – Pika namna yeyote uipendayo kwa kuchomo, kuoka, kuchemsha na maji au mvuke, kubanika au kukausha na jua au sola au umeme.

MBOGAMBOGA
Kwa week ya kwanza kula aina yeyote ya mboga hizi lakini week ya pili kuna baadhi ya mboga za majani hazitaruhusiwa.
SALADS unaweza kula kama kachumbari na pia kama mboga ya kupika au kuchemsha (kula kiasi chochote lakini week ya pili utatakiwa kutumia vikombe 2 au 1)

11- Cabbage
12- Lettuce
13- Spinachi
14- Sukuma week
15- Unaweza ongeza vitu vingine vingi vinavyofanana an hivyo

MBOGA ZA NYUZINYUZI (kula kiasi chochote lakini week ya 2 utatumia si zaidi ya vikombe
2)
16- Bamia au Okra, mchicha wa kienyeji, mchunga na mnafu
17- Broccoli
18- Couliflower
19- Karroti ***sio nyingi kwa siku.
20- Tango
21- Green Beans ***haya si maharage machanga.
22- Uyoga
23- Snow peas *** hii pia sio njegere changa
24- Tomatoes ***kama ni kubwa zisiwe nyingi
25- Zuchini ipo kama tango lakini zucchini yenyewe inapikwa
26- Unaweza ongeza vitu vingine vingi vinavyofanana an hivyo

MAFUTA – tumia mafuta aina yeyote hapa chini.
27- Tumia ya Alizeti
28- Ya Nazi
29- Ya Olive au zeituni
30- Ya Macadania au blue bandi ile kopo ya zamani au tuseme ya Tanzani
31- Mafuta ya mawese kiasi kidogo
32- Mafuta ya avocado au parachichi
33- Unaweza ongeza vitu vingine vingi vinavyofanana an hivyo

VINYWAJI
34- Maji peke yake au na chumvi
35- Green tea
36- Herbal tea
37- Mchaichai
38- Juice ya kutengeneza mwenyewe au smoothie
39- Mtindi

SNACKS
40- Mayai
41- Karanga
42- Korosho
43- Macadani nuts
44- Mtindi
40- Mayai
41- Karanga
42- Korosho
43- Macadani nuts
44- Mtindi
MATUNDA
45- Embe
46- Papai
47- Pera
48- Ndimu na Limao
49- Parachichi
50- Nanasi
51- Ndizi
52- Avocado
53- Chungwa
54- Unaweza ongeza vitu vingine vingi vinavyofanana an hivyo

RATIBA YA MAJI – LITA 3 NA ZAIDI KWA SIKU.
Kama ilivyokwisha elezwa mwanzo maji ni muhimu sana mwilini kwa ajili ya kumeng’enya chakula an kusafisha taka za mwili katika figo an ini. Bila maji mwanadamu unanyauka an kufa.
1- Asubuhi sana kabla ya 12 glasi moja ya maji ya moto au baridi
2- Saa 1 - 2 asubuhi kunywa maji ya moto an au asali kidogo au mdalasini au maziwa au green tea, usiweke sukari kamwe
3- Saa 4 asubuhi kunywa maji glasi moja ya moto au baridi
4- Saa 7 mchana kunywa maji galsi moja ya moto au baridi
5- Saa 9 mchana kunywa maji glasi moja ya moto au baridi
6- Saa 12 jioni kunywa maji glasi moja ya moto au baridi
7- Saa 2-3 usiku kunywa maji glasi moja ya moto au baridi

Kwa mana ingine unaweza tengeneza chakula chochote kitokanacho na
muunganiko wa vyakula hivyo hapo juu kama unaweza mfano
1- Bugger ya nyama ya kuku na mbogamboga za hapo juu
2- Supu za uyoga na nyama au mbogamboga
3- Karanga za mayai au makande ya karanga au makande ya korosho
4- Snacks za dagaa na samaki au meat balls
5- Ratiba ya chakula kwa ajili ya kuondoa unene an kupunguza uzito

MFANO WA RATIBA YA CHAKULA KWA AJILI YA KUONDOA UNENE AN
UZITO ULIOKITHIRI
Ili kwenda vizuri an ratiba hii an pia ili usiwe mdanganyifu basi unatakiwa ule angalau milo 3 mikubwa kwa siku an kisha milo midogo mingine mitatu. Hii itakuwezesha kujisikia umeshiba muda wote kisha kuupa mwili nguvu zinazopotea kutokana an kukosa vyakula vya wanga an sukari.
• Asubuhi kabla ya saa2
• Asubuhi saa 4
• Mchana saa 7
• Mchana saa 10
• Jioni saa 1
• Usiku saa 3

Vitu vingine vya kuzingatia
• Mazoei Mepesi hasa asubuhi sana
• Kuwa an amani mtu wa Mungu
• Lala masaa angalau 8+ kila siku
• Mazoei Mepesi hasa asubuhi sana
• Kuwa an amani mtu wa Mungu
• Lala masaa angalau 8+ kila siku
VYAKULA VISIVYOFAA KABISA KAMA UPO KATIKA MPANGO WA
KUONDOA UNENE AN KUPUNGUZA UZITO ULIOZIDI
Vyakula vyote vyenye wanga na sukari havifai kabisa kutumia, utatakiwa kuachana navyo kabisa.
1- Ugali, wali, mkate wa kiwandani, viazi chips an viazi vitamu, njegere an maharagem ndizi za kuchoma an kupika, pasta, ugali wa ngano au mihogo, mahindi ya kuchoma au kuchemsha
2- Pombe ya aina yeyete ile
3- Juice ya aina yeyote ili iliyopo kwenye kopo au chupa
4- Nyama yeyote ile iliyopo kwenye kopo (sio karatasi)
5- Mafuta yasiyoganda yakiwekwa kwenye joto la wastani (room temperature) mfano mafuta mengi ya mboga za majani kutokana an jinsi yanavyochakatwa yanakosa sifa ya kuwa bora kwa afya ya wanandoa.
0752 693 692 au 0655 580 788

Comments
Post a Comment